CHALAMILA AHAKIKISHA ULINZI WA KUTOSHA SABASABA 2026
Chalamila ahakikisha ulinzi wa kutosha Sabasaba 2026.IKIWA zimebaki siku mbili tu kabla ya kuanza rasmi kwa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewahakikishia wakazi wa jiji hilo na wageni wote kuwa ulinzi na usalama utakuwa wa kiwango cha juu. Hatua hiyo inalenga…
