WAFUGAJI KUNUFAIKA NA TUZO KUONGEZA UZALISHAJI
Wafugaji kunufaika na tuzo kuongeza uzalishaji.Sekta ya mifugo nchini Tanzania inalenga kupiga hatua kubwa za kimaendeleo kufuatia kuzinduliwa rasmi kwa Mradi wa Tuzo Shindani za Watoa Huduma kwa Ajili ya Tasnia Himilivu ya Maziwa. Mradi huo kabambe, unaofadhiliwa na shirika la kimataifa la Heifer International, unalenga kuhamasisha matumizi ya mbinu za kisasa za ufugaji, upatikanaji…
