GAWIO LA SERIKALI LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 30
Gawio la Serikali laongezeka kwa asilimia 30.Ufanisi wa mashirika na kampuni za umma nchini Tanzania umezidi kuonesha matokeo chanya baada ya makusanyo ya serikali kuongezeka kwa kiwango kikubwa. Katika mwaka wa fedha wa 2025/26, gawio la serikali kutoka taasisi za umma pamoja na michango mingine kutoka kwa kampuni ambazo serikali ina hisa chache limepaa kwa…
