SERIKALI YAFICHUA SIRI YA UWEZESHAJI WANAWAKE -pesatu.co.tz

SERIKALI YAFICHUA SIRI YA UWEZESHAJI WANAWAKE

Serikali yafichua siri ya uwezeshaji wanawake .Katika hatua inayolenga kuleta mapinduzi ya kiviwanda na kibiashara nchini, Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameweka wazi kuwa uwezeshaji wa wanawake kiuchumi ndio uti wa mgongo wa maendeleo ya Taifa la Tanzania. Akizungumza katika hafla ya kusisimua ya Women In Balance Kitchen Party Gala 2026 , Jijini…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 05 02 at 12.24.08 PM

Maua ni fursa ya biashara

Watu wengi wanapenda kupendezesha nyumba zao ama ofisi kwa mapambo mbalimbali ikiwemo maua. Ama kwa hakika, bustani za maua mbalimbali zinazotunzwa vizuri ni kivutio kikubwa husasani majumbani na sehemu zingine mbalimbali. Vijana wengi wameanzisha biashara ya kuuza maua na wengine wakifanya kazi ya kutengeneza bustani (garden) kwa utaalamu. Biashara hii ambayo inakua kwa kasi imeweza…

Soma Zaidi
sasas

TCRA yatangaza fursa wabunifu wa TEHAMA

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka vijana wabunifu na wavumbuzi wa programu mbalimbali za kidijitali kujitokeza kupata rasilimali zitakazowawezesha kupata fursa ya kutengeneza ajira; kujiletea kipato na kutatua changamoto mtambuka za jamii. Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dk. Jabir Bakari amesema mapema leo Jumatatu Novemba 14, 2022 kuwa mamlaka hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine imeamua…

Soma Zaidi
mtt

Vijana watakiwa kutumia teknolojia kukuza ubunifu

Kutokana na kukua kwa teknolojia, vijana wa Kitanzania wametakiwa kutumia fursa za kidigitali ili kuweza kukuza ubunifu na ujasiriamali na kupata masoko ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Venture, Jumanne Mtambalike ametoa wito huo kwa vijana katika Kongamano la ubunifu, teknolojia na ujasiriamali lililoandaliwa Sahara Ventures kwa kushirikana na wadau wengine wakiwemo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks