BALOZI OMAR AWATAKA VIJANA KUJENGA MAADILI
Mkakati wa ukuzaji wa vipaji vya soka Tanzania umeingia katika sura mpya baada ya Serikali kusisitiza kuwa uwekezaji katika mchezo huo haupaswi kuangazia tu uwezo wa mchezaji awapo uwanjani, bali pia ujenge misingi imara ya maadili, nidhamu na elimu ya darasani. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, wakati alipotembelea Kituo…
