WAFANYABIASHARA WAONYWA KUPANDISHA BEI YA CHAKULA
Wafanyabiashara waonywa kupandisha Bei ya Chakula.Katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanajiandaa kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kipindi cha Kwaresma, kumekuwepo na hofu ya kupanda kwa bei za bidhaa muhimu. Hata hivyo, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewakatisha tamaa wafanyabiashara kutumia fursa hiyo kuwaumiza wananchi. Akijibu swali la Mbunge wa Viti…
