AIRTEL MONEY YARAHISISHA BIASHARA KWA MAMA LISHE
Airtel Money yarahisisha biashara kwa mama lishe. Katika ulimwengu wa sasa ambao teknolojia inakua kwa kasi ya ajabu, huduma za kifedha kwa njia ya simu zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa watu wa kipato cha chini na kati nchini Tanzania. Airtel Money, ikiwa ni miongoni mwa viongozi wa soko la huduma za kifedha kidijitali,…
