Pesatu Ujasiriamali

Mambo matano mjasiriamali anapaswa kujua

Ujasiriamali unaendelea kuwa kimbilio la wengi katika harakati za kupambana na ajira. Wananchi wengi wamekuwa wakitambua fursa na kutumia nafasi hiyo kujiajiri ili kumudu maisha. Japokuwa kundi kubwa la watu wanajikita katika kujiajiri, ni wachache tu ambao wanafikia mafanikio na kutimiza malengo yao. Unaweza kujiuliza, asilimia kubwa wanakosea wapi? Ni vitu gani ambavyo kila mjasiriamali…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2021 07 16 at 14.50.17

Maganda ya korosho yanavyotengeneza mafuta

Kama ulikuwa hufahamu kuwa maganda yatokanayo na zao la korosho yanatengeneza mafuta, basi sasa ujue. Lydia Amor ni mjasiriamali katika Halmashauri ya Mji wa Masasi ambae pia ni Mkurugenzi wa Lige Enterprise alifika katika maonyesho ya 45 ya Biashara (sabasaba) na kuweza kuonyesha bidhaa mbalimbali ikiwemo zao la korosho. “Nimefurahi sana kuweza kushiriki katika maonyesho…

Soma Zaidi

Biashara za mtaji mdogo, suluhisho la vijana kujiajiri

Wakati sera kuu ya Tanzania ni vijana na wanawake kujiajiri, upatikanaji mgumu wa mtaji unazuia maendeleo. Serikali imefanya mengi ili kuongeza upatikanaji wa mtaji kwa makundi maalum kama wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, hata hivyo mengi zaidi yanahitajika kufanywa. Hadi sasa, serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imerahisisha mahitaji ya ukopaji kwenye mabenki na…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks