TTCL YAENDELEZA FURSA ZA KIDIJITALI TANZANIA
TTCL YAENDELEZA FURSA ZA KIDIJITALI TANZANIA.Katika enzi hii ya mageuzi ya kiteknolojia na ukuaji wa uchumi wa kidijitali, matumizi ya intaneti ya kasi na huduma za mawasiliano yamekuwa nguzo kuu ya maendeleo ya kila siku. Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa kila mwananchi anafikiwa na miundombinu ya kisasa…
