WhatsApp Image 2022 11 14 at 3.35.05 PM

Waziri ahimiza uwekezaji sekta ya utalii

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutangaza vivutio vya utalii na fursa za uwekezaji zilizo katika sekta ya utalii ndani na nje ya nchi. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amesema hayo alipokuwa akitoa salamu za Wizara wakati wa kufunga Maonesho ya Utalii Karibu Kusini mkoani…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 08 05 at 3.13.56 PM

Serikali yataka ubunifu wa Watanzania ulindwe

Serikali kupitia Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imetaka ubunifu wa Watanzania ulindwe na kuendelezwa. Naibu Waziri wa Wizara hiyo Exaud Silaoneka Kigahe amesema vijana wengi Watanzania wana ubunifu lakini bunifu hizo huchukuliwa na watu wengine kutokana na kutolindwa kisheria. Ameeleza kupitia taasisi za Wizara ambazo ni Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania…

Soma Zaidi
suluhu

Rais Samia aenda Ghana

Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Akiwa nchini Ghana, Rais Samia anatarajia kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia nchi, kupanda kwa bei…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks