AIRTEL YAZINDUA UPYA AIRTEL FURSA LAB-pesatu.co.tz

AIRTEL YAZINDUA UPYA AIRTEL FURSA LAB

AIRTEL yazindua upya Airtel Fursa Lab.Wanafunzi, walimu na vijana nchini Tanzania wamepata fursa mpya ya kujifunza, kufanya majaribio ya kiteknolojia na kuendeleza ubunifu wa kidijitali baada ya Taasisi ya Airtel Africa Foundation kuzindua upya jengo la Airtel Fursa Lab lililopo katika Shule ya Sekondari Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huu unakuja mara baada ya…

Soma Zaidi
MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KUTENGEWA ENEO LAKE-pesatu.co.tz

MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KUTENGEWA KUTENGEWA ENEO LAKE

Mitambo ya Kuchenjua dhahabu kutengewa eneo lake.Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kimkakati katika kupanga mji na kulinda afya za wakazi wake, huku ikiimarisha sekta ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini. Katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Hoja nzito imeibuliwa ikitaka eneo maalum…

Soma Zaidi
DIPLOMASIA YA UCHUMI YAONGEZA FURSA ZA TANZANIA-pesatu.co.tz

DIPLOMASIA YA UCHUMI YAONGEZA FURSA ZA TANZANIA

Diplomasia ya Uchumi yaongeza fursa za Tanzania.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaendelea kudhihirisha kuwa ni nguzo kuu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Kupitia utendaji kazi uliotukuka wa Balozi zake zilizotawanyika katika pembe mbalimbali za dunia, wizara hii imekuwa kiungo chenye tija kubwa katika…

Soma Zaidi
MADINI NA GESI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI TANZANIA-pesatu.co.tz

MADINI NA GESI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI TANZANIA

Madini na gesi kuchochea ukuaji wa uchumi Tanzania.Uchumi wa Tanzania unaendelea kuonyesha ustahimilivu na kasi kubwa ya kuimarika, huku sekta kuu za uzalishaji zikitarajiwa kuwa injini kuu ya kuendesha gurudumu la maendeleo nchini. Katika kipindi hiki ambacho mataifa mengi duniani yanakabiliana na changamoto mbalimbali za kiuchumi na kimfumo, Tanzania imefanikiwa kudumisha uwezo wake wa kuvutia…

Soma Zaidi
TUME YA MADINI YAFUNGUA FURSA ZA MABILIONI-pesatu.co.tz

TUME YA MADINI YAFUNGUA FURSA ZA MABILIONI

Tume ya madini yafungua fursa za Mabilioni.Sekta ya madini nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiuchumi yanayolenga kuwainua wananchi wa kawaida na wafanyabiashara wa ndani. Katika hatua ya kihistoria inayolenga kuongeza ushiriki wa wazawa katika mnyororo mzima wa thamani, Serikali kupitia Tume ya Madini imetangaza rasmi fursa za biashara zenye thamani ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks