TANZANIA NA UJERUMANI KUKUZA UCHUMI WA KIJANI
Tanzania na Ujerumani kukuza uchumi wa Kijani.Katika hatua kubwa inayolenga kuongeza kasi ya maendeleo endelevu na uhifadhi wa ikolojia nchini, wadau wa mazingira kutoka mataifa yaliyoendelea wameendelea kuonesha nia thabiti ya kuwekeza nchini Tanzania. Hivi karibuni, Taasisi mashuhuri ya Hanns Neumann Stiftung (HRNS) ya nchini Ujerumani imetangaza nia yake ya dhati ya kuwekeza na kushirikiana…
