WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAWASILISHA TAARIFA
Wizara ya Viwanda na Biashara yawasilisha taarifa bungeni.Katika hatua inayodhihirisha dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sasa katika kuongeza uwazi, uwajibikaji, na ushindani wa kiuchumi, Wizara ya Viwanda na Biashara imewasilisha taarifa kamili na ya kina ya utekelezaji wa shughuli za taasisi za Wizara ya Viwanda na Biashara mbele ya Kamati ya Kudumu…

