NMB YAHIMIZA MATUMIZI YA MALIPO YA KIDIGITALI-pesatu.co.tz

NMB YAHIMIZA MATUMIZI YA MALIPO YA KIDIGITALI

NMB yaimiza matumizi ya malipo ya Kidigitali.Katika enzi hii ya ulimwengu wa kiteknolojia, maendeleo ya kibiashara yanategemea sana uwezo wa sekta mbalimbali kubadilika na kwenda na wakati. Benki ya NMB imechukua hatua kubwa ya kuwahimiza wafanyabiashara kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, na Geita kukumbatia mfumo mpya wa uendeshaji biashara kwa kutumia fursa za kiteknolojia. Kupitia…

Soma Zaidi
AIRTEL YAZINDUA UPYA AIRTEL FURSA LAB-pesatu.co.tz

AIRTEL YAZINDUA UPYA AIRTEL FURSA LAB

AIRTEL yazindua upya Airtel Fursa Lab.Wanafunzi, walimu na vijana nchini Tanzania wamepata fursa mpya ya kujifunza, kufanya majaribio ya kiteknolojia na kuendeleza ubunifu wa kidijitali baada ya Taasisi ya Airtel Africa Foundation kuzindua upya jengo la Airtel Fursa Lab lililopo katika Shule ya Sekondari Kijitonyama, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huu unakuja mara baada ya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks