WAHITIMU VIJIJINI WAHIMIZWA UFADHILI NURU YANGU
WAHITIMU VIJIJINI WAHIMIZWA UFADHILI NURU YANGU.Taasisi ya NMB Foundation imetoa wito wa dharura kwa wahitimu wote wa Kidato cha Sita mwaka 2026 wenye ufaulu wa juu na sifa stahiki kuwasilisha maombi yao ya Nuru Yangu Scholarship na mafunzo ya malezi elekezi (mentorship) kabla ya dirisha la maombi kufungwa Septemba 18 ,Septemba2026. Programu hii ya Nuru…
