WANAWAKE VIJIJINI KUNUFAIKA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10
Wanawake vijijini kunufaika na mikopo ya asilimia 10.Katika jitihada za kuimarisha usawa wa kiuchumi na kuwainua wananchi kutoka katika umaskini, Serikali Tanzania imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu namna inavyotekeleza mikakati mbalimbali inayolenga kuhakikisha kuwa mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri inawafikia walengwa waliokusudiwa. Kupitia hatua hizi, mkazo mkubwa umewekwa kwa makundi maalum, hususan wanawake wanaoishi…
