HATIFUNGANI YA EFTA YACHOCHEA MAPINDUZI YA UCHUMI
Soko la mitaji nchini Tanzania linaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa yanayochochea ukuaji wa uchumi wa kitaifa. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la uaminifu kutoka kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, jambo linalothibitisha uwepo wa mazingira wezeshi na salama ya kibiashara. Hatua hii si tu kwamba inaimarisha sekta ya kifedha, bali…
