Waziri Mkuu aagiza ufuatiliaji wa watendaji Vyama vya Ushirika

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa watendaji wa Vyama vya Ushirika ili wazingatie maadili ya utumishi wa ushirika, uwazi, uwajibikaji na utawala bora, na hivyo kuwavutia wanachama na wawekezaji. Pia Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo, pamoja na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, iharakishe na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa…

Soma Zaidi

Uzalishaji muhogo ni tani 8.6 badala ya tani 30 kwa hekta

Imeelezwa kuwa uzalishaji wa muhogo nchini ni tani 8.6 badala ya tani 30 kwa hekta ambacho ndicho kiwango cha uzalishaji wenye tija. Uzalishaji mdogo katika mazao ya muhogo na viazi vitamu umekuwa ni kichocheo kwa watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kutumia teknolojia zitakazowezesha kuharakisha uzalishaji wa mbegu bora zinazostahimili mashambulizi ya…

Soma Zaidi

Tanzania, Ujerumani kubadilishana teknolojia sekta ya kilimo

Serikali ya Ujerumani imesema ipo tayari kubadilishana teknolojia za kisasa na mifumo bora ya Kilimo wanayotumia itakayowawezesha wakulima wa Tanzania kuinua kiwango cha uzalishaji mazao mbalimbali ili iweze kuzalisha mazao hayo na yaweze kupata soko katika Bara la Ulaya. Hayo yameelezwa katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Bavaria, nchini Ujerumani….

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks