SERIKALI YAZINDUA KAMPENI YA KIDUCHU KUWAWEZESHA VIJANA
Serikali yazindua kampeni ya kiduchu kuwawezesha vijana.Katika harakati za kuhakikisha kuwa elimu ya juu inabaki kuwa haki ya kila kijana mwenye sifa nchini Tanzania, Serikali ya Awamu ya Sita imekuja na mbinu mpya na shirikishi. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, ametoa mwanga mpya kuhusu mustakabali wa mikopo ya vyuo vikuu…
