Waziri ataka changamoto ajira za walimu zishughulikiwe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemwagiza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde kufuatilia malalamiko na changamoto zote zinazowakabili walimu wa ajira mpya 9,800. Katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari, Bashungwa amesema…
