SERIKALI YAPANUA MIJI PEMBEZONI
Serikali yapanua miji pembezoni.Ukuaji wa kasi wa idadi ya watu mijini ni moja kati ya changamoto na fursa kubwa zinazozikabili nchi zinazozidi kuendelea duniani kote. Nchini Tanzania, kasi hii inaleta shinikizo kubwa katika miundombinu ya kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Katika kukabiliana na hali hii, Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais…
