mwinyi

Kipaumbele cha kwanza ni kujenga miundombinu: Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema matarajio yake kwa sasa ni kujenga miundombinu kwanza. Akihutubia katika maadhimisho ya miaka miwili ya kuiongoza Zanzibar, Rais Mwinyi amesema “kipaumbele cha kwanza katika miaka miwili ijayo ni kujenga miundombinu mikubwa, miundombinu ya barabara kuu katika nchi yetu. Miundombinu ya bandari…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2022 02 04 at 2.36.32 PM

Waziri ataja sababu daraja la Tanzanite kutumika bure

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema daraja la Tanzanite Watanzania hawalipi na hawatalipa kwa sababu limejengwa kwa 100% kwa pesa ya serikali. Waziri Mbarawa amebainisha kuwa fedha hizo ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. “Daraja la Kigamboni utaratibu uliotumika ni tofauti,…

Soma Zaidi
tt

Daraja la Tanzanite kuanza kutumika February Mosi

Daraja la Tanzanite(Salenda) limekamilika kwa asilimia 100 na litaanza kutumika rasmi kesho February Mosi, 2022. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema daraja hilo lenye urefu wa km 1.03 limegharimu kiasi cha Sh bilioni 243. Amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa Tanzania inafunguka kwenye sekta ya miundombinu ili wananchi waweze kufanya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks