BILIONI 44 KUCHOCHEA KILIMO SAME
Bilioni 44 kuchochea Kilimo Same.Mkakati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuimarisha sekta ya kilimo nchini na kuwainua wananchi kiuchumi umezidi kushika kasi mkoani Kilimanjaro. Katika hatua kubwa inayotarajiwa kubadilisha kabisa mwelekeo wa kiuchumi wa Wilaya ya Same, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa kiasi cha Shilingi bilioni 44.1 kwa ajili ya utekelezaji…
