Bodi ya mkonge yatakiwa kufanya utafiti wa masoko
Naibu Katibu Mkuu – Kilimo (Ushirika na Umwagiliaji), Dkt. Suleiman Serera, ameitaka Bodi ya Mkonge kufanya utafiti wa masoko kwa ngazi ya kimataifa ili kujua hali ya bei ya Mkonge ikilinganishwa na hapa nchini. Ameyasema hayo Novemba 18, 2024 wakati alipofanya kikao na Viongozi wa Bodi ya Mkonge na Wadau wa Kilimo wakati wa ziara…
