sawaaa

Vyama vya Ushirika vijijini vyatakiwa kuomba uwakala kusambaza mbolea

Vyama vya Ushirika vijijini vimetakiwa kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo mbalimbali ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli, Mkoani Tabora Julai 01, 2024 ambapo amemwakilisha Waziri wa Kilimo. Husein Bashe. ”Msimu…

Soma Zaidi
sawaaa

Tutaendelea kuunga mkono wawekezaji kwenye kilimo: Bashe

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali itaendelea kuunga mkono wawekezaji wanaoonesha nia ya kuwekeza kwenye uongezaji thamani wa zao la alizeti hususan katika kuzalisha mafuta ya kupikia. Amesema hayo alipokutana kwa mazungumzo na wawakilishi kutoka Kampuni ya Mainland Group kutoka ya China Juni 24, 2024 jijini Dodoma. “Zao la alizeti ni miongoni mwa mazao…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 02 29 at 17.02.43

Serikali yatangaza fursa kilimo cha mbogamboga na matunda

Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde ametangaza fursa mbalimbali zilizopo Tanzania zinazohusu Sekta ya Kilimo, hususan kilimo cha mbogamboga na matunda pamoja na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kuwezesha uwekezaji na biashara nchini. Silinde ametangaza fursa hizo katika maadhimisho ya Siku ya Tanzania Februari 28, 2024 wakati wa Maonesho ya Dunia ya Matunda na…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2024 02 29 at 16.46.36

Mfumo wa Crop Stocks Dynamic System warahisihsa utoaji taarifa bei za mazao sokoni

Wizara ya Kilimo inaendelea kutoa mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu utaratibu wa uuzaji na ununuzi wa mazao ya chakula kupitia Mfumo wa Crop Stocks Dynamics System (CSDS) kwa watalaamu wa kilimo katika ngazi ya Halmashauri na Sekretarieti za Mikoa ili kurahisisha usajili wa ghala za Umma, vituo vya mauzo na ukaguzi wa mazao. Katika kuendelea…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks