Utekelezaji mipango ya kilimo ipewe kipaumbele: Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuhakikisha inaweka kipaumbele cha utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADPs) na kutafuta fedha zitakazowezesha utekelezaji wake. Majaliwa ametoa agizo hilo Machi 2, 2022 wakati akizindua Mipango ya Maendeleo ya Kilimo ya Wilaya (DADPs jijini Dodoma. Pia amezitaka taasisi za fedha zijipange…
