BITEKO ASEMA TANZANIA YAPIGA HATUA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Biteko Asema Tanzania Yapiga hatua nishati Safi ya Kupikia.Katika kuhakikisha afya ya jamii na hifadhi ya mazingira vinazingatiwa kwa kiwango cha juu, Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa na za kihistoria katika utekelezaji wa ajenda ya nishati safi ya kupikia. Hatua hizi ni matokeo ya juhudi za makusudi zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sasa, zikilenga…
