CHEVRON YAINGIA KWENYE MBIO ZA UTAFITI WA MAFUTA
Sekta ya nishati nchini Tanzania inaendelea kupata msukumo mpya wa kimataifa kufuatia kampuni kubwa ya nishati kutoka nchini Marekani, Chevron Corporation, kueleza utayari wake wa kuingiza mtaji mkubwa katika uwekezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Hatua hii inakuja wakati ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuimarisha diplomasia ya kiuchumi na kuboresha mazingira ya biashara…
