WANAFUNZI 34 WA SAMIA SCHOLARSHIP WAELEKEA IRELAND
WANAFUNZI 34 WA SAMIA SCHOLARSHIP WAELEKEA IRELAND.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia baada ya kuwaaga rasmi wanafunzi 34 waliopata ufadhili kupitia mpango mashuhuri wa Samia Scholarship. Wanafunzi hawa wameondoka nchini kuelekea nchini Ireland kwa ajili ya kuanza masomo ya shahada ya kwanza katika fani…
