VIJANA KUNUFAIKA MIKOPO YA UBUNIFU KUPITIA COSTECH
Vijana kunufaika mikopo ya ubunifu kupitia COSTECH . Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya sayansi na teknolojia. Katika hatua ya hivi karibuni inayolenga kuwakomboa vijana kiuchumi, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Amier, ametoa mwito…
