Wahitimu kidato cha nne 2024 wapewa siku 30 kubadili tahasusi
Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imetoa fursa ya siku 30 kwa Wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2024 kubadili tahasusi zao (combination) au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye ambapo utaratibu huo umeanza March 31 hadi April 30 mwaka huu. Akiongea Jijini Dodoma April 02,2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya…
