MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KUTENGEWA KUTENGEWA ENEO LAKE
Mitambo ya Kuchenjua dhahabu kutengewa eneo lake.Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kimkakati katika kupanga mji na kulinda afya za wakazi wake, huku ikiimarisha sekta ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini. Katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Hoja nzito imeibuliwa ikitaka eneo maalum…
