TANZANIA YAJINADI MATUMIZI NISHATI SAFI KIMATAIFA
Tanzania yajinadi matumizi nishati safi Kimataifa.Katika ulimwengu unaokabiliwa na mabadiliko makubwa ya tabianchi, Tanzania imejipambanua kama kinara katika harakati za kuhakikisha usalama wa nishati na utunzaji wa mazingira. Hivi karibuni, nchi imepiga hatua kubwa katika kuimarisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, hatua ambayo si tu inalinda afya za wananchi bali pia inainua hadhi ya…
