Kampuni za Ericsson, Siemens za sweden kuongeza uwekezaji Tanzania pesatu.com

Kampuni za Ericsson, Siemens za sweden kuongeza uwekezaji Tanzania

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, amefanya ziara katika makao makuu ya kampuni za Ericsson na Siemens Energy za Sweden kujadiliana kuhusu kuongeza uwekezaji na kuendelea kuleta teknolojia zao nchini. Balozi Matinyi aliitembelea kampuni ya Ericsson Septemba 02, 2025, jijini Stockholm na kuzungumza na viongozi na wataalam wao wakiongozwa na Mkurugenzi wa Sera za…

Soma Zaidi
Muonekano wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, kilichozinduliwa na Rais Dkt. Samia pesatu.com

Uchumi wa Tanzania kuendelea kukua Rais Dkt. Samia akizindua mradi wa urani wa Dola 1.2bn

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaendelea kupiga hatua muhimu katika safari yake ya kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa, teknolojia na rasilimali za ndani. Rais Dkt. Samia maeyasema hayo Julai 30, 2025 wakati akizindua kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya Urani kilichopo Wilaya ya Namtumbo…

Soma Zaidi
Waziri Mkuu azitaka Halmashauri kuweka vituo vya kuchakata taka.

Vijana Tanzania watakiwa kushiriki biashara ya kaboni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini zihakikishe kuwa zinaweka vituo vya kuchakata na kutenganisha taka ili zinapozalishwa ziweze kushughulikiwa kwa njia salama na endelevu, kwa lengo la kupunguza mzigo wa taka unaokwenda majalalani au kusambaa ovyo katika makazi ya watu. Kadhalika, Majaliwa amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa zishirikiane na Ofisi ya Makamu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks