SERIKALI KUIMARISHA UZALISHAJI WA MIFUKO MBADALA
Katika jitihada za kuhakikisha Tanzania inakuwa nchi ya kijani na isiyo na uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki, Serikali imetoa tamko jipya la kuimarisha sekta ya viwanda. Serikali imesisitiza kuwa itaendelea kuwaunga mkono na kuwatia moyo wawekezaji wote wanaojikita katika uzalishaji wa mifuko mbadala Tanzania na vifungashio vyenye viwango vya ubora vinavyokidhi soko…
