KCB TANZANIA YAZINDUA FURSA KWA VIJANA ZANZIBAR
Kcb Tanzania yazindua fursa kwa vijana zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea kuonyesha dhamira yake ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi visiwani humo. Katika hatua ya hivi karibuni, amesisitiza umuhimu wa taasisi za kifedha, hususan Benki ya KCB Tanzania, kuwa mstari wa mbele katika…
