MAPINDUZI YA NISHATI SAFI TANZANIA
Mapinduzi ya nishati safi Tanzania .Tanzania inapita katika kipindi cha mpito cha kihistoria kuelekea matumizi ya nishati mbadala na nafuu. Huku gharama za mafuta ya petroli na dizeli zikiendelea kuyumba katika soko la dunia, Serikali ya Awamu ya Sita imeweka nguvu kubwa katika kuimarisha sekta ya gesi asilia. Katika ziara ya hivi karibuni, Kamati ya…
