NDEJEMBI AAGIZA UKAGUZI WA MAGHALA YA MAFUTA
Ndejembi aagiza ukaguzi wa Maghala ya Mafuta.Katika hali inayolenga kulinda uchumi wa nchi na kuhakikisha huduma za kijamii hazisimami, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechukua hatua madhubuti kuimarisha usalama wa mafuta Tanzania. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ametoa agizo zito kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukaguzi…
