AIRTEL YACHOCHEA MAPINDUZI YA TEHAMA ZANZIBAR
Airtel yachochea mapinduzi ya tehama Zanzibar. Katika hatua inayotajwa kama ukombozi wa mawasiliano kwa wakazi wa Visiwa vya Marashi ya Karafuu, Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa kutangaza rasmi kuzindua maduka manne ya kisasa katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Uzinduzi huu si tu tukio la kibiashara, bali ni mkakati wa…
