TANZANIA NA BELARUS KUIMARISHA UWEKEZAJI
Tanzania na Belarus kuimarisha uwekezaji.Tanzania inaendelea kupiga hatua kubwa katika kuimarisha diplomasia yake ya uchumi duniani kote. Katika hatua ambayo inatarajiwa kubadili mwelekeo wa soko la kimataifa kwa wafanyabiashara wa ndani, nchi imeshuhudia kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano ya Maelewano (MoU) ya kihistoria. Makubaliano haya kati ya Chemba ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC) na…
