TRA SAME YATISHA KWA MAKUSANYO YA MAPATO-pesatu.co.tz

TRA SAME YATISHA KWA MAKUSANYO YA MAPATO

TRA same yatisha kwa makusanyo ya mapato.Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni, ametoa wito mzito kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kuongeza kasi ya kubuni vyanzo vipya vya mapato. DC Kasilda amesisitiza kuwa, pamoja na mafanikio makubwa yaliyopatikana hivi karibuni, bado kuna maeneo mengi ambayo hayajafikiwa kikamilifu ili kuhakikisha kuwa…

Soma Zaidi
NDEJEMBI AFUMUA UOZO MRADI WA MALAGARASI MW 49.5-pesatu.co.tz

NDEJEMBI AFUMUA UOZO MRADI WA MALAGARASI MW 49.5

Ndejembi afumua uozo Mradi wa Malagarasi MW 49.5. Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imechukua hatua madhubuti na za haraka kuhakikisha kuwa miradi ya kimkakati ya nishati inatekelezwa kwa ufanisi na thamani ya fedha za walipakodi inaonekana. Katika ziara ya hivi karibuni mkoani Kigoma, Waziri wa Nishati,Deogratius Ndejembi, ameeleza kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks