SHULE 3,296 ZANUFAIKA NA INTANETI AFRIKA
Shule 3,296 zanufaika na intaneti afrika.Taasisi ya Airtel Africa Foundation imechapisha ripoti yake ya kwanza ya mwaka, inayoonyesha hatua kubwa na utekelezaji wa miradi yenye mchango chanya kwa jamii katika nyanja mbalimbali. Ripoti hii inaangazia maeneo muhimu kama vile upatikanaji wa elimu bora, kuwajengea watu ujuzi wa kiteknolojia, pamoja na kutengeneza fursa mbalimbali za kiuchumi…
