TANESCO YAHAMASISHA MATUMIZI YA VYOMBO VYA UMEME-pesatu.co.tz

TANESCO YAHAMASISHA MATUMIZI YA VYOMBO VYA UMEME

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekuwa mstari wa mbele kuchochea mabadiliko haya kwa kuelimisha umma kuhusu faida za kiuchumi na kimazingira zinazopatikana kupitia matumizi ya nishati safi. TANESCO yahamasisha matumizi ya vyombo vya Umeme.Sekta ya usafirishaji nchini Tanzania inashuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia yanayolenga kupunguza gharama za uendeshaji na kulinda mazingira. Wakati mijadala mingi mijini…

Soma Zaidi
UTAFITI WA MADINI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI-pesatu.co.tz

UTAFITI WA MADINI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI

Utafiti wa madini kuongeza fursa za uwekezaji.Sekta ya uziduaji nchini Tanzania inaendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kimkakati, huku Serikali ikiweka nguvu kubwa katika kuhakikisha rasilimali zilizopo chini ya ardhi zinasaidia kuinua maisha ya wananchi na kukuza pato la Taifa. Katika muktadha huo, Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dkt. Janet Lekashingo, ameipongeza kwa dhati…

Soma Zaidi
AFREXIMBANK YAIPA TANZANIA NGUVU MPYA-pesatu.co.tz

AFREXIMBANK YAIPA TANZANIA NGUVU MPYA

Afreximbank yaipa Tanzania nguvu mpya.Safari ya mabadiliko ya kiuchumi nchini Tanzania imepata nguvu mpya baada ya Serikali kuweka wazi mikakati yake ya muda mrefu inayolenga kukuza uchumi na kufikia thamani ya dola za Kimarekani trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Katika kufikia azma hii kubwa, Serikali imebainisha wazi kuwa taasisi za kifedha za kikanda zinachukua nafasi…

Soma Zaidi
MIRADI YA KIMKAKATI YAIMARISHA GRIDI YA TAIFA-pesatu.co.tz

MIRADI YA KIMKAKATI YAIMARISHA GRIDI YA TAIFA

Miradi ya Kimkakati yaimarisha Gridi ya Taifa.Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti na za makusudi katika kuhakikisha inaimarisha Gridi ya Taifa ya Umeme kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati ya njia za kusafirisha nishati hiyo. Hatua hizi zinatarajiwa kwa kiasi kikubwa kuongeza uwezo, uthabiti, ufanisi, na usalama wa mfumo mzima wa usambazaji wa nishati…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks