NMB YAINGIA AWAMU MPYA YA UBORA WA HUDUMA KWA WATEJA
NMB yaingia awamu mpya ya ubora wa huduma kwa Wateja.Katika hatua kubwa inayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa sekta ya fedha nchini Tanzania, Benki ya NMB imekamilisha rasmi mchakato wa kuhamisha shughuli zake zote za kibenki kwenda kwenye mfumo mkuu mpya wa teknolojia. Hatua hii ya kihistoria inalenga kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma kwa wateja NMB, huku…
