TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA WANAHISA WA AFRICA50
Tanzania inajiandaa kuandika ukurasa mwingine wa kihistoria katika diplomasia ya kiuchumi na maendeleo ya miundombinu. Jijini Dar es Salaam, kitovu cha biashara na uchumi nchini, Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) utakuwa mwenyeji wa matukio mawili makubwa ya kimataifa: Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 (General Shareholders’ Meeting – GSM)…
