WIZARA YA FEDHA YAENDELEA NA MAPITIO YA SHERIA
Wizara ya fedha yaendelea na mapitio ya Sheria.Katika jitihada za kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi zinatumika kwa ufanisi na tija, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Fedha, imechukua hatua kubwa ya kimkakati. Hatua hii inahusisha kufanya mapitio ya kina ya Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410, kwa lengo la…
