Leah Nyudike

Mwandishi

Kukuza biashara ndogo inahitaji mpango mkakati mzuri pesatu.co.tz

Vitu vya kuzingatia katika biashara ya vifaa vya ujenzi

Kila siku watu wanajenga huku wengine wakiziboresha nyumba zao. Ni rahisi kupata mafanikio makubwa kupitia biashara ya vifaa vya ujenzi maarufu kama “Hardware” vilevile ni rahisi kwa biashara hiyo kufa ikiwa mfanyabiashara hana mpango madhubuti wa kuifikisha mbali. Ikiwa unataka kufanikiwa katika biashara hii ni muhimu kuzingatia yafuatayo: Soko Ni muhimu kuelewa soko kabla ya…

Read More

Zingatia haya kukuza biashara yako

Biashara ya nguo ni miongoni mwa biashara ambazo mfanyabiashara anakuwa na uhakika wa kupata wateja kwa sababu mavazi ni moja ya mahitaji muhimu kwa binadamu. Ieleweke kuwa kuna watu wamepata mafanikio makubwa kupitia biashara hii. Hivyo ni vyema kuangalia mapungufu yaliyopo katika biashara hii na kuyafanyia kazi, ikiwa unataka kufanya biashara ya nguo. Kwa sababu…

Read More

Zingatia haya msimu huu wa sikukuu

Msimu wa sikukuu huwa ni wakati mzuri hasa kwa wafanyabiashara kufanya mauzo zaidi. Mbali na faida ambazo wafanyabiashara hupata, kuna umuhimu kwa watu kujipanga na kutengeneza mpango maalum ili kuhakikisha mtiririko wa kifedha hauathiriki baada ya msimu huu kuisha. Hivyo ili kubaki katika upande salama kifedha hata baada ya sherehe za mwisho wa mwaka inashauriwa…

Read More

Unataka kuuza zaidi Instagram? Soma hii

Instagram ni moja ya programu ambazo zimekuwa zikikua kwa kasi na kuendelea kupanua upeo wake kila siku. Mwanzo ilianza kama programu ambayo watumiaji wake walikuwa waki ‘post’ picha na video za likizo na maeneo ya starehe , lakini hivi sasa programu hiyo inatumika zaidi kuwahamasisha watu wengine katika masuala mbalimbali, kutangaza biashara na hata kukuza…

Read More

Fahamu haya kuhusu ‘Angel Investors’

Mtaji ni msingi wa ukuaji wa biashara yeyote, imekuwa ni kawaida kuona wajasiriamali au wafanyabiashara wapya wanafunga biashara zao kutokana na ukosefu wa fedha za uendeshaji wa biashara zao. Mbali na mikopo ambayo hutolewa katika mashirika ya fedha kwa wajasiriamali kuna njia mbalimbali ambazo wajasiriamali wapya wanaweza kupata mitaji na kuweza kutimiza malengo ya biashara…

Read More

Unataka kukua kibiashara 2020? Soma hii

Ni dhahiri kuwa kila biashara hupitia changamoto za aina yake. Mbinu za kutatua changamoto hizo hupelekea biashara kukua au kutokusonga mbele, hivyo kila mfanyabiashara ana jukumu kubwa la kuchukua hatua sahihi pindi changamoto zinapokuwa zimejitokeza. Inaelezwa kuwa ni 80% tu ya biashara mpya hufikia mwaka na nusu ya asilimia hiyo husherekea miaka mitano ya uwepo…

Read More

Vitu 5 vinavyopaswa kuwepo katika Website

Kufatia zama za kidijitali wafanyabiashara duniani wametakiwa kwenda sawa na mabadiliko hayo ikiwa ni pamoja na  kuendesha biashara zao katika mifumo ya kisasa ikiwa  ili kuweza kuwafikia wateja wengi zaidi . Inaelezwa kuwa hadi kufika mwaka huu kuna watumiaji takribani bilioni 4 wa intaneti hivyo kuna umuhimu mkubwa kwa kila biashara kuwa na tovuti(website) ili…

Read More

Umuhimu wa ushirikiano na brandi zingine

Mchakato wa kushirikiana baina ya  brandi katika kampeni mbalimbali umekuwa ukitumika katika tasnia zilizopo ili kuweza kupata faida zaidi na kuleta uhamasishaji baina ya pande zote mbili za brandi husika. Kama brandi ni muhimu kutambua jinsi ushirikiano na brandi nyingine utakavyofaidisha biashara au kampuni yako tokea mwanzo. Fahamu matokeo  unayotarajia, angalia kama watu wameshaanza kusahau…

Read More

Faida za kununua bidhaa mtandaoni

Mtandao wa intaneti unaendelea kurahisisha ufanisi wa biashara duniani. Kupitia majukwaa mbalimbali kama Amazon, Flipkart, Jumia, na mengine mengi maduka ya mtandaoni yameweza kutangaza bidhaa zao ili kuweza kufikia wateja wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali duniani. Ingawa watu wengi bado wanaogopa kufanya manunuzi ya bidhaa mtandaoni, kuna wengine wameshajenga utamaduni huo bila uoga. Kila kitu…

Read More