Dkt. Mwigulu: Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko Sera za Marekani
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko ya sera za nje za Marekani kuhusu misaada kwa nchi za Afrika kwa kutumia rasilimali zake ndani kupitia Bajeti Kuu ya Serikali. Dkt. Nchemba amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika wa…
