Tanzania yaongoza kwa Simba, Nyati na Chui barani Afrika
Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba, Nyati na Chui wengi katika bara la Afrika huku ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na idadi kubwa yaTembo. Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki amesema hayo April 22, 2024 wakati akitangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Wanyamapori na kuzindua taarifa ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea Tanzania mwaka…
