WhatsApp Image 2023 05 23 at 17.21.39

Mtanzania wa kwanza apata cheti eneo huru la biashara Afrika

Mfanyabiashara wa kwanza wa Kitanzania amepata cheti cha kufanya biashara katika eneo huru la biashara Afrika (African Continental Free Trade Area), AfCFTA. Mfanyabiashara huyo Shabani Hamis ni kutoka katika kampuni ya kizawa ya EXPORT TRADING GROUP (ETG). Kampuni hiyo imenufaika na mkataba wa soko hilo na kufanikiwa kusafirisha kontena 9 za kahawa ya Kitanzania aina…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 04 28 at 14.41.17

Denmark kuendeleza ushirikiano na Tanzania

Denmark imeahidi kuendeleza ushirikiano zaidi na Tanzania katika jitihada zake za kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na misaada ya kiufundi katika sekta ya mbalimbali ikiwemo afya. Ahadi hiyo imetolewa na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Norgaard Dissingspandet wakati akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks